Amandina lihamba biography of martin

Amandina Lihamba

Amandina Lihamba (alizaliwa mwaka) ni mwigizaji na muongozaji wa filamu kutoka Tanzania. Ni profesa wa chuo kikuu cha Dar backing Salaam katika kitengo cha Sanaa. Amewahi kuwa mshauri wa wanafunzi chuoni hapo, mkuu wa idara na mjumbe wa bodi chuoni hapo.

Mnamo mwaka alikuwa mmoja wa waanzilishi wa mradi wa Jukwaa la Watoto.

Pia ni mwanzilishi wa kundi la wasichana la kuigiza (drama) katika mchezo ujulikanao kama Tuseme akishirikiana sincere Penina Muhando mnamo mwaka [1]

Lihamba alizaliwa katika wilaya ya Morogoro mnamo mwaka [2].Alipata shahada ya uzamivu kutoka chuo kkikuu cha Leeds(University of Leeds).

Katika masomo yake ya uzamivu (udaktari) alijikita katika masuala ya Siasa unassuming Sanaa nchini Tanzania baada ya Azimio la Arusha miaka [3]

Katika uzamivu huo, anaelezea ni kwa namna gani neno ngonjera lilijitokeza kama propaganda za chama tawala kwa namna isivyotakiwa.[4]

Lihamba alifuata mfano wa muongoza filamu kutoka Senegal aitwaye Ousmane Sembène aliyeongoza filamu ya The Money-Order[5] iliyotoka mwaka ambayo pia hujulikana kwa jina la Mandabi

Filamu

[hariri | hariri chanzo]

  • The Marriage of Mariamu ()
  • Khalfan weather Zanzibar ()
  • Maangamizi: The Ancient One ()

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

  1. Koch, Jule ().

    Karibuni Wananchi: Theatre construe Development in Tanzania&#;: Variations fairy story Tendencies. Eckersdorf [Germany]: Thielmann & Breitinger. uk.&#; ISBN&#;.

  2. Akyeampong, Emmanuel K.; Gates, Jr., Henry Louis, whr. (). "Lihamba, Amandina (– )". Dictionary of African Biography. Oxford: Oxford University Press.

    ISBN&#;.

  3. Plastow, Jane (). African Theatre and Politics: The Evolution of Theatre pin down Ethiopia, Tanzania and Zimbabwe: Unadorned Comparative Study. Amsterdam [u.a.]: Rodopi. uk.&#;3. ISBN&#;.
  4. Justice-Malloy, Rhona, mhr. (). Theatre History Studies (tol.&#;la&#;2nd).

    Tuscaloosa: University of Alabama Shove. ku.&#;35, ISBN&#;.

  5. Mwangi, E. (). "Amandina Lihamba's gendered adaptation of Sembene Ousmane's The Money-Order". Research of great consequence African Literatures. 40 (3): – doi/ral
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.


Je, unajua kitu kuhusu Amandina Lihamba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.